Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kufuatia kuandama kwa mwezi wa Muharram, mwezi wa majonzo na masikitiko kwa Waislamu kwa kuuwawa kikatili kwa Imam Husein (a.s) mjukuu wa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) katika mji wa Karbala mnamo mwaka wa 61 A.H, wafuasi wa madhehebu ya AhlulBayt (a.s) nchini Finland wameanza kufanya maombolezo hayo nchini humo.

25 Septemba 2017 - 12:59